Home » » TAARIFA RASMI KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA OFISI YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA LEO

TAARIFA RASMI KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA OFISI YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA LEO

Waziri wa maji na umwagiliaji Eng.Gerson Hosea Lwenge, akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mrisho Mashaka Gambo, alipomtembelea ofisini kwake jijini Arusha
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo,akiwa pamoja na mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha Lekule Laiza na Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha, Hargeney Chitukulo wakimsikiliza Waziri wa Maji na Umwagiliaji Eng.Gerson Lwege alipokuwa akitoa maelekezo juu ya miradi ya maji iliyopo jiji Arusha.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa