Home » » (VIDEO) MAMA SHUJAA WA CHAKULA WAPATA SOMO LA MNYORORO WA THAMANI KATIKA MAZAO YA CHAKULA KWA VITENDO

(VIDEO) MAMA SHUJAA WA CHAKULA WAPATA SOMO LA MNYORORO WA THAMANI KATIKA MAZAO YA CHAKULA KWA VITENDO

Ilikuwa ni Siku nyengine tena katika Kijiji cha Enguiki ambapo  washiriki wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula walipata somo muhimu la Mnyororo wa thamani kwa vitendo na hapa walipiga hatua zaidi kwa kuvunjiwa makundi yao ya mwanzo na sasa wakawa katika makundi matatu pekee katika makundi hayo akina mama hao walipewa mtaji na vitu vya kwenda kuuza ambapo mwisho wa siku walitakiwa kuresha na faida, Mambo yalienda palikuwa vuta nikuvute lakini mwisho wa siku ilikuwaje? fuatilia hapa ..Hii ni safari ya Kumsaka Mama mmoja ambaye atajishindia Tsh 25,000,000 


0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa