|
Mkuu
wa wilaya ya Arusha,Gabriel Daqarro akiwa ameshika Mwenge wa Uhuru
uliopokelewa leo katika Jiji la Arusha eneo la Kisongo kwaajili ya
kukimbizwa kwa siku moja katika urefu wa Kilometa 81.19 katika Tarafa
tatu. |
|
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha,Athumani Kihamia akipokea Mwenge wa Uhuru ambao utakimbizwa ukiwa unaelimisha na kueneza ujumbe wa "Washirikishwe na Kuwezeshwa" ujumbe huo ukiwa umeambatana na kauli mbiu "Vijana ni Nguvukazi ya Taifa Washirikishwe na Kuwezeshwa" |
|
Kiongozi
wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa,George Mbijima akizindua Kituo cha
Afya katika Kata ya Elerai jijini Arusha kitakachowahudumia wananchi wa
Kata hiyo,Sombetini na Ngarenaro.Miradi yenye thamani ya zaidi ya Sh
1.5 ambayo Soko,Afya,Maji,Elimu,Uwezeshaji wa wananchi kiuchumi makundi maalumu,Ujenzi wa daraja na usafi na utunzaji wa mazingira. |
|
Kiongozi
wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa,George Mbijima akiwagawia Vyandarua
ukiwa ni mpango wa Jiji kupiga vita ugonjwa wa Malaria baada ya kuzindua
Kituo cha Afya katika Kata ya Elerai jijini Arusha . |
|
Kiongozi
wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa,George Mbijima akizindua Soko la
Mazao mchanyiko katika Kata ya Elerai jijini Arusha . |
|
Sehemu
ya wananchi waliojitokeza kuulaki Mwenge wa Uhuru katika viwanja vya
Shule ya Sekondari Kimandolu ambako mradi wa maji ulizinduliwa. |
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment