Home » » TAARIFA KAMILI KUHUSU MSIBA WA ALIYEKUWA MBUNGE WA JIMBO LA KILINDI, BEATRICE SHELUKINDO

TAARIFA KAMILI KUHUSU MSIBA WA ALIYEKUWA MBUNGE WA JIMBO LA KILINDI, BEATRICE SHELUKINDO

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 


Familia ya Bwana William H. Shelukindo, Inasikitika kutangaza kifo cha Bibi Beatrice Matumbo Shelukindo kilichotokea siku ya Jumamosi 2/7/2016 huko Arusha.

Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu 8 Galu Street, Ada Estate, Dar es salaam na huko Arusha.

Mazishi yatafanyika siku ya Jumatano Tarehe 6/07/2016 alasiri Mjini Arusha.

Bwana ametoa Bwana, ametoa Jina la Bwana lihimidiwe.

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa