Mkuu wa wilaya ya Longido Bw. Daniel Chongolo (wa tatu kulia) akikabidhi zawadi za Idd kwa Masheikh wa misikiti ya mji wa Namanga na Longido mjini wilayani Longido leo,mkoani Arusha. Mh Chongo amekabidhi zawadi hizo kwa misikiti 6 iliyopo wilayani Longido mapema Leo.
Mkuu wa wilaya ya Longido mkoani Arusha Bw. Daniel Chongolo akikabidhi zawadi za sikukuu ya Idd kwa Masheikh wa Misikiti ya Namanga na Longido mjini leo. Mkuu huyo wa wilaya pia ametumia nafasi hiyo kujitambulisha kwao.
0 comments:
Post a Comment