Arusha
Home » » SEREKALI YATAKIWA KUAJIRI MAAFISA UHAMIAJI WENYE ELIMU YA UONGOZI WA UTALII

SEREKALI YATAKIWA KUAJIRI MAAFISA UHAMIAJI WENYE ELIMU YA UONGOZI WA UTALII

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mbunge wa jimbo la Arumeru magharibi Gibson Olemeiseyeki akipata maelekezo ya huduma zinazotolewa na kampuni ya utalii OSUPUKO nature Paradise(picha na maktaba)
 
Na Woinde Shizza, Arusha


SEREKALI Imetakiwa kuajiri maafisa uhamiaji ambao wanayo  elimu ya uongozi wa Utalii ili kuweza kuwa pokea wageni wanatoka nje ya nchi vizuri kulingana na taaluma.
Hayo yamebainishwa na mbunge wa jambo la Arumeru  magharibi Olemeiseyeki Gibson Blasius wakati jana wakati alipokutana akiongea na waandishi wa habari kuhusiana na nini kifanyike ili wageni wengi wa tembelee nchi yetu kuangalia vivutio vilivyopo.
Alisema kuwa serekali inatakiwa kuajiri maafisa uhamiaji haswa wanaokaa katika viwanja vya ndege wenye elimu ya utalii  ili kuweza kuwa pokea wageni wanaoingia Hapa nchini kwa kwa ukarimu na kwakufuata taaluma ya utalii.
"unajua maafisa uhamiaji waliopo katika viwanja vyetu vya ndege baadhi awana taaluma Nzuri kwani Unakuta afisa uhamiaji anampokea mgeni kama mpwa au mualifu haliinayofanya mgeni ajisikie Vibaya mno hali inayofanya akarudi kwa o akayangaze nchi yetu Vibaya" Alisema Olemeseyeki
Aidha Alibainisha kuwa mbali na hivyo pia serekali inatakiwa kutoa maelezo ya vitu ambavyo mgeni anatakiwa a fanye kabla ya kufika Hapa nchini ili kupunguza ukumbufu ambao Unaweza kujitokeza.
"tukiangalia mfano hii sindano ya yellow fiva Unakuta mzungu kaja kaanza kunywa vidonge vya kuzuia malaria miezi mitatu nyuma kabla ajaja sasa anafika apa analazimishwa kuchomwa sindano kitu ambacho sio aki na sasavunakuta apobakilazimishwa ndio Unakuta inamlazimisha atoe rushwa ili apite ili mraw di tu asipigwe iyosindano"alisema Olemeseyeki
Alitaka serekali kuzisafisha viwanja vyote Vya ndege kwa kuajiri watu wenye elimu na watakao pokea wageni vizuri tangu anaposhuka kwenye aridhi ya tanzania na kubainisha kuwa ukimpokea mgeni vyema basi pale Atakapoondoka Hapa chini ataenda kutangaza nchi yetu na vivutio vyema hali ambayo itasaidia kupata watalii wengi wanaokuja kuangalia vivutio vilivyopo Hapa nchini.
Aidha Alizitaka Mamlaka husika ikiwemo Hifadhi za Taifa (TANAPA), pamoja Hifadhi  ya Taifa  Ngorongoro  kuboresha miundombinu Ikiwemo vibanda vya kulia chakula mgeni akiwa ifadhini pamoja na kuweka madawati maalumu ambayo atupeleke ma tatizo au Shida ambayo utamkuta pindi anapokuwa Hifadhi na kujibiwa kwa haraka na wakati.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa