Wanafunzi
walioshinda mashindano ya Insha ya EAC wakipata selfie na viongozi
baada ya Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya
Mashariki jijini Arusha.
Kijana
Simon Sahaya Mollel (18) wa Shule ya Sekondari ya Mzumbe ya mjini
Morogoro akionesha dola 1500 alizopewa kama zawadi baaya ya kuibulka
mshindi wa kwanza wa kuandika Inshawakati wa Mkutano wa 17 wa Kawaida wa
Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Mashariki jijini Arusha.
Rais
Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda akijiandaa kuweka saini ya Kanuni za
Madili ya Mfuko wa Sekta Binafsi wakati wa Mkutano wa 17 wa Kawaida wa
Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Mashariki jijini Arusha.
Rais
Paul Kagama wa Rwanda akiweka saini ya Kanuni za Madili ya Mfuko wa
Sekta Binafsi wakati wa Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za
Jumuiya ya Mashariki jijini Arusha.
Rais
Uhuru Kenyatta wa Kenya akiweka saini ya Kanuni za Madili ya Mfuko wa
Sekta Binafsi wakati wa Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za
Jumuiya ya Mashariki jijini Arusha leo.
Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiweka saini ya Kanuni za Madili ya
Mfuko wa Sekta Binafsi wakati wa Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa
Nchi za Jumuiya ya Mashariki jijini Arusha.
Rais Dkt. John Magufuli, akizungumza katika mkutano huo. Picha na Ikulu








0 comments:
Post a Comment