Home » » RAIS DKT.MAGUFULI NA RAIS UHURU KENYATTA WAWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA BARABARA YA ARUSHA-HOLILI/TAVETA-VOI YA KM 234.3

RAIS DKT.MAGUFULI NA RAIS UHURU KENYATTA WAWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA BARABARA YA ARUSHA-HOLILI/TAVETA-VOI YA KM 234.3

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli leo aweka jiwe la msingi la Ujenzi wa barabara ya Arusha- Holili/Taveta-voi (km 234.3) kwa upande wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Jamhuri ya Kenya, Uhuru Kenyatta katika eneo la Tengeru jijini Arusha. 
Muonekano wa Barabara ambayo jiwe la msingi linawekwa na  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli pamoja na Rais wa Jamhuri ya Kenya, Uhuru Kenyatta.

 

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa