Home » » RAIS UHURU WA KENYA ALIPOAMUA KUSAFIRI KWA BARABARA KUTOKA NAIROBI HADI ARUSHA

RAIS UHURU WA KENYA ALIPOAMUA KUSAFIRI KWA BARABARA KUTOKA NAIROBI HADI ARUSHA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

Chanzo Father Kidevu Blog

 Wakisalimia wananchi
Rais wa Kenya na Mwenyeki wa Jumuia ya Afrika Mashariki, Uhuru Kenyata pamoja na Makamu wake wa Rais William Samoei Ruto walisafiri kwa njia ya barabara kutoka Ikulu ya Naorobi hadi Jijini Arusha Tanzania jana.

Rais Kenyata alikuwa akielekea jiji Arusha kuhutubia Bunge la Afrika Mashariki jana. Huo ndio ulikuwa msafara wao na walikuwa wakilakiwa njiani hivyo na wananchi wa Kenya.


0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa