Arusha
Home » » BENKI YA NIC ARUSHA YAWAKUMBUKA WATOTO WENYE MTINDIO WA UBONGO WA SHULE MAALUM YA DYMPHNA ILIYOPO SAKINA KWA IDD‏

BENKI YA NIC ARUSHA YAWAKUMBUKA WATOTO WENYE MTINDIO WA UBONGO WA SHULE MAALUM YA DYMPHNA ILIYOPO SAKINA KWA IDD‏

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

 Meneja wa benki ya NIC Mbuche Mgawa  wa nne kulia akipokea maelezo kutoka kwa bibi Mary Robert Kaswende meneja wa kituo cha Dymphna Special school iliyopo sakina kwa idd mara baaada ya kuwasili shuleni hapo.

 Watoto wa shule maalum ya Dymphna wakiwasikiliza wageni ambao ni wafanyakazi wa benki ya NIC
 Watoto wa shule hiyo wakiwa wamebeba bango la kutoa shukrani kwa benki ya NIC
Watoto wa shule hiyo wakiwa wamebeba bango la kutoa shukrani kwa benki ya NIC, na BENKI YA NIC wakiwa pamoja na misaada waliyobeba na watoto wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya ziara ya kuwatembelea kituo hichon ambvacho ni maaalum kwa ajili ya kutoa elimu kwa watoto wenye matatizo ya mtindio wa ubongo.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa