Mkurugenzi
Mwendeshaji wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), Elishilia
Kaaya akiwa amebeba watoto watatu mapacha Catherine, Caroline na Cathrine ambao
walizaliwa mwanzoni mwa wiki hii katika Hospitali ya AICC Jjiini Arusha. Wengine
pichani ni Mkurugenzi wa Hospitali ya AICC Prof. Sendui Ole Nguyaine (kushoto),
mama mzazi wa watoto hao, Janeth Kimario (katikati) pamoja na wauguzi wa
Hospitali hiyo. (Picha kwa hisani ya AICC). Mama huyo alijifungua kwa njia ya
oparesheni wakiwa na afya njema. (Picha na AICC)
Home »
» MAPACHA WATATU WAZALIWA SALAMA HOSPITALI YA AICC ARUSHA
MAPACHA WATATU WAZALIWA SALAMA HOSPITALI YA AICC ARUSHA
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment