Home » » Taswira Za Mkutano Mkubwa Wa Chadema Mkoani Arusha jana

Taswira Za Mkutano Mkubwa Wa Chadema Mkoani Arusha jana


 Mwenyetiki wa Chadema,Mbunge wa Hai na Kiongozi Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mheshimiwa Freeman Mbowe akihutubia maelfu ya wananchama wa chadema Mkoani Arusha leo(jana)na kuwaelekezea wananchi wa arusha sababu za chadema kukata rufaa mahakamani kufwatia Mahakama Kumvua Ubunge Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema Leo na Kusema zipo sababu tatu zilizowafanya waende kukata Rufani badala ya kuingia kwenye uchaguzi mdogo moja kwa moja.


 Aliyekua Mbunge wa Arusha(CHADEMA)Godbless Lema akihutubia maelfu ya wanachama wa Chadema Mkoani Arusha leo ambapo alielezea sababu ya chadema kukata rufaa maamuzi ya mahakama ya kutengua ubunge wa Mheshimiwa lema Hivi Karibu,kwenye mkutano huo Godbless Lema aliwaeleza Wafuasi wa Chadema aliwaomba wananchi kuendelea kuwa watulivu na kuondoa hofu na anaimani watashinda. 









  Sehemu ya Maelfu ya Wafusi wa CHADEMA Wakiwa kwenye mkutanoo wa hadhara Arusha Leo(Jana)

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa