
Rais na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Benjamin Mkapa akiwasili kwenye viwanja vya Patandi, kuhutubia mkutano wa kampeni za CCM, jana atapanda jukwaani kufunga kampeni za CCM. Kulia ni Mama Anna Mkapa.

Rais na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Benjamin Mkapa akihutubia

Rais na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Benjamin Mkapa akimnadi Sioi Sumari

Umati wa watu ukimsikiliza Mkapa

Rais na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Benjamin Mkapa akielekea kupanda jukwaani

Rais na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Benjamin Mkapa

Mh. Edward Lowasa akiwasili katika mkutano wa hadhara tayari kwa kuhutubia wakazi wa Arumeru jana

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowasa akihutubia kwenye Mkutano wa Kampeni za CCM Jimbo la Arumeru Mashariki jana kwenye viwanja vya Kikatiti,Wilayani Arumeru.

Mh.Edward Lowasa akimnadi mgombea wa CCM katika jimbo la Arumeru Mashariki Sioi Sumari katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana katika viwanja vya Kikatiti jimboni humo.

Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Stephen Wasira baada ya kuwaili kwenye mkutano huo. Katikati ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Asha Abdallah Juma.

Katibu wa NEC, Mahuaisiano ya Kimataifa, Januari Makamba akisalimia wananchi kwenye mkutano huo.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akisalimia wananchi kwenye mkutano huo

Mgombea wa Ubunge wa jimbo la Arumeru kupitia CCM Sioi Sumari akihutubia wapiga kura wa Arumeru katika mkutano wa hadhara jana

Mkurugenzi Msaidizi Mkuu wa Uchaguzi CCM, Matson Chizi akimpeleka jukwaani, mgombea wa CCM Sioi Sumari

Kutoka kushoto ni Mbunge wa Bumbuli January Makamba, Esther Bulaya mbunge wa viti maalum Singida na Mbunge wa Korogwe Steven Ngonyani Prof. Maji Marefu wakiwa katika mkutano huo.

Wananchi wakimshangilia Mkapa

Wabunge wanane wa CCM wanaosaidia katika kampeni za CCM jimbo la Arumeru Mashariki, wakisalimia wananchi kwenye mkutano huo.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya akitumbuiza katika mkutano huo

Msafara wa pikipiki ukielekea katika viwanja vya Kikatiti jimboni humo.

Sioi Sumari akiwasili katika viwanja vya Kikatiti jimboni Arumeru tayari kwa mkutano wake wa kampeni jana.
Picha na Bashir Nkromo-Arumeru
Picha na Bashir Nkromo-Arumeru
0 comments:
Post a Comment