Mwenyekiti wa Mradi wa Ujenzi wa Bweni
 la Wanafunzi Prof. Kelvin Mtei ( katikati) 
akifafanua jambo kwa Kamati ya Kudumu ya
 Bunge ya Hesabu za Serikali ( PAC) 
walipotembelea mradi huo katikati Taasisi ya
 Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson 
Mandela Machi 25,2025 Kampasi ya
 Tengeru jijini Arusha.