Na Pamela Mollel, Arusha
Arusha, Machi 25, 2025 — Mwanasheria Mkuu wa Serikali,
Hamza Said Johari, ametoa wito maalum kwa Mawakili na
Wanasheria wote wa Serikali kuzingatia ubora na weledi
katika utoaji wa huduma za kisheria, huku akisisitiza
umuhimu wa kufanya kazi kwa wakati ili kuchochea maendeleo ya Taifa.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza Said Johari akizungumza jijini Arusha katika mafunzo ya pili ya mwaka kwa Mawakili wa Serikali
Sehemu ya washiriki wakiwemo Majaji wa Mahakama Kuu
0 comments:
Post a Comment