Halmashauri
ya Wilaya ya Mbulu imepokea Tsh 281,500,000 kwa ajili ya ukarabati na
ujenzi wa miundo mbinu ya shule ya sekondari Yaenda Chini na shule ya
Msingi Domanga. Fedha hizi ni sehemu ya Zaidi ya Tsh 17 Bilioni
zilizotolewa na Serikali kwa baadhi ya Halmashauri nchini kuboresha
miundo mbinu ya shule za msingi na sekondari!
Ni
lengo la Serikali ya awamu ya tano chini Rais Dr. John Pombe Magufuli
kuondoa kero katika sekta ya elimu nchini. Tumeshaanza maandalizi ya
ujenzi na kukamilisha kwa wakati ufanisi wa hali ya juu katika shule
hizo
Mkurugenzi
wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Hudson Kamoga akiongozana na Diwani
kata ya Yaeda Chini (CCM) Bryson, wakati Mkurugenzi huyo alipokagua
ukarabati na ujenzi wa miundo mbinu ya shule ya sekondari Yaeda Chini na
shule ya Msingi Domanga
Mkurugenzi
wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Hudson Kamoga akiongozana na Afisa
Elimu Wilaya ya Mbulu ,Ludovic Longino kulia na Afisa ugavi wilaya ya
Mbulu Faustine Safari kushoto, wakati Mkurugenzi huyo alipokagua
ukarabati na ujenzi wa miundo mbinu ya shule ya sekondari Yaeda Chini na
shule ya Msingi Domanga
Mkurugenzi
wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Hudson Kamoga akiongozana na Afisa
Elimu Wilaya ya Mbulu Ludovic Longino kulia na Afisa ugavi wilaya ya
Mbulu Bw. Faustine Safari kushoto wakati Mkurugenzi huyo alipokagua
ukarabati na ujenzi wa miundo mbinu ya shule ya sekondari Yaeda Chini na
shule ya Msingi Domanga
Mkurugenzi
wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Bw. Hudson Kamoga akipata maelezo
kutoka kwa mmoja wa maafisa wa Wilaya ya Mbulu wakati Mkurugenzi huyo
alipokagua ukarabati na ujenzi wa miundo mbinu ya shule ya sekondari
Yaenda Chini na shule ya Msingi Domanga
Mkurugenzi
wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Bw. Hudson Kamoga akishiriki katika
ujenzi wa Msingi wa shule wakati alipokagua ukarabati na ujenzi wa
miundo mbinu ya shule ya sekondari Yaenda Chini na shule ya Msingi
Domanga
0 comments:
Post a Comment