Arusha
Home » » WAKAAZI WA ARUSHA WATAMBULISHWA BIDHAA BORA ZA UMEME JUA(SOLA)

WAKAAZI WA ARUSHA WATAMBULISHWA BIDHAA BORA ZA UMEME JUA(SOLA)

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
Mkazi wa Arusha Mzava Nsanjiwa akitazama jiko linalotumia nishati ya jua katika banda la Kampuni ya Sola ya Sunking katika maonyesho yaliyofanyika kwa ajili ya kuhamasisha wakaazi wa Arusha kutumia bidhaa za sola zilizo bora, katika viwanja vya stendi ya Kilombero jijini Arusha.Picha na Mpigapicha wetu.

Mkazi wa Jiji la Arusha Yohana (watatu kulia) akitazama bidhaa mbalimbali za majumbani zinazotumia nishati ya jua katika mabanda ya kampuni ya solar ya Sunking ,katika maonyesho yaliyofanyika katika viwanja vya stendi ya Kilombero jijini Arusha.Picha na Mpigapicha wetu


Mkazi wa Jiji la Arusha Yohana (watatu kulia) akitazama bidhaa mbalimbali za majumbani zinazotumia nishati ya jua katika mabanda ya kampuni ya solar Sister ,katika maonyesho yaliyofanyika katika viwanja vya stendi ya Kilombero jijini Arusha.Picha na Mpigapicha wetu

Mkazi wa Arusha Bi.Dora Mkini akitazama jiko linalotumia nishati ya jua kutoka katika kampuni ya Sunking katika maonyesho yaliyofanyika katika viwanja vya stendi ya Kilombero jijini Arusha.Picha na Mpigapicha wetu

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa