Arusha
Home » » MKUU WA MKOA WA ARUSHA MH. MRISHO GAMBO AZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA JIJINI ARUSHA

MKUU WA MKOA WA ARUSHA MH. MRISHO GAMBO AZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA JIJINI ARUSHA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

 Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Mashaka Gambo,akizungumza na wafanyabiashara wa Mkoa wa Arusha, ofisini kwake Jijini Arusha.
 Baadhi ya wafanyabiashara wa Mkoa wa Arusha walioshiriki kikao kilichoitishwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha(hayupo pichani),ofisini kwake Jijini Arusha.



Wakuu wa Taasisi mbalimbali za Serikali zilizopo Mkoani Arusha walioshiriki kikao cha Mkuu wa Mkoa wa Arusha na wafanyabiashara wa Mkoani hapa.



0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa