Home » » MKUU WA WILAYA YA LONGIDO MH. DANIEL CHONGOLO AZINDUA MRADI WA KUZALISHA UMEME KATIKA KIJIJI CHA KITUMBEINE

MKUU WA WILAYA YA LONGIDO MH. DANIEL CHONGOLO AZINDUA MRADI WA KUZALISHA UMEME KATIKA KIJIJI CHA KITUMBEINE

dan2
Mkuu wa wilaya ya Longido Mkoani Arusha Mh. Daniel Chongolo na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya ENGIE AFRICA Bw. Bruno Bensasson wakikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa mradi wa uzalishaji wa umeme kwa njia rafiki wa mazingira unaoendeshwa na kampuni ya Engie Afrika wenye uwezo wa kuzalisha 16KW na kuhudumia zaidi ya kaya 100 katika kijiji cha Kitumbeine wilayani Longido.
dan4
Mkuu wa wilaya ya Longido Mkoani Arusha Mh. Daniel Chongolo na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya ENGIE AFRICA Bw. Bruno Bensasson wakiwa katika hafla hiyo ya uzinduzi katika kijiji cha Kitumbeine wilayani Longido.
dan1
Mkuu wa wilaya ya Longido Mkoani Arusha Mh. Daniel Chongolo na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya ENGIE AFRICA Bw. Bruno Bensasson wakiwa na viongozi wa serikali wilaya ya Longido na maofisa wa Kampuni ya ENGIE AFRICA wakati wa uzinduzi huo.
dan3
Baadhi ya waalikwa wakikwemo wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wilayani Longido wakiwa katika hafla hiyo.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa