Baadhi ya washiriki wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula Msimu wa Tano wakiwa wanajiandikisha katika Ofisi ya Kijiji cha Enguiki Monduli Mkoani Arusha
Bakari Kivuyo Mwenyekiti wa Kijiji cha Enguiki akitoa maelekezo kwa washiriki wa Shindano la Mama Shujaa wa chakula (hawapo pichani) namna ya kujaza taarifa zao katika Kitabu.
Washiriki wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula linaloendeshwa na Shirika la Kimataifa la Oxfam Tanzania wakiwa wanaongea na Bakari Kivuyo Mwenyekiti wa Kijiji cha Enguiki (hayupo Pichani) wakati walipokwenda kujiandikisha
Mwalimu Mkuu Msaidizi Shule ya Msingi ya Enguiki Lucia Kessy akiwakaribisha Mama Shujaa wa Chakula shulemi hapo
Mwalimu Mkuu Msaidizi Shule ya Msingi ya Enguiki Lucia Kessy (wa kwanza kulia) akiwaelekeza Mazingira ya Shuleni hapo wakati Mama Shujaa walipoitembelea
Wakiendelea kupata Taarifa
Rashid Mohamed Mkuu wa kituo cha Polisi(OCS) Monduli juu akiongea na Washiriki wa Shindano la Mama shujaa wa Chakula walipotembelea kituoni hapo
Rashid Mohamed Mkuu wa kituo cha Polisi(OCS) Monduli juu akiendelea kuongea na washiriki wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula.
Rahel Mrema Mganga Kiongozi Zahanati ya Monduli Juu (wa kwanza kushoto) akiongea na washiriki wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula
Washiriki wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula wakiwa wanafanya usafi katika Zahanati hiyo
Kupata taarifa zaidi Tembelea www.facebook.com/mamashujaa
Kupata taarifa zaidi Tembelea www.facebook.com/mamashujaa
0 comments:
Post a Comment