Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
|
Balozi
wa Norway nchini Tanzania,Hanne -Marie Kaarstad ambaye alikua mgeni
rasmi katika Mahafali ya Saba ya Chuo cha Ufundi Arusha (ATC)
akiwatunuku Vyeti, Stashahada na Shahada wahitimu katika fani za Uandisi
Umwagiliaji,Umeme,Ujenzi,Mawasiliano Anga ,Mitambo na Kompyuta Januari
16,2016. |
|
Baadhi ya wahitimu wa fani ya Uandisi Mitambo wakifurahia mara baada ya kutunukiwa Stashahada zao. |
|
Wahitimu wakifatilia kwa makini hotuba mbalimbali. |
|
Balozi
wa Norway nchini Tanzania,Hanne -Marie Kaarstad ambaye alikua mgeni
rasmi katika Mahafali ya Saba ya Chuo chaUfundi Arusha (ATC) akiwa
katika picha ya pamoja na wanachuo wanaobaki. |
|
Balozi wa Norway nchini Tanzania, Hanne -Marie Kaarstad (kulia)akipokea zawadi kutoka idara ya Uandisi Madini. |
|
Balozi Hanne -Marie Kaarstad akifurahia kazi za wanachuo alipotembelea maonesho yaliyoandaliwa kwaajili yake. |
|
Wanachuo wanaobaki walionegesha mahafari hayo kwa bendera za kuvutia. |
|
Balozi
Hanne -Marie Kaarstad na Mkuu wa Chuo hicho, Dk Richard Massika
aliyevaa tai nyekundu wakipata maelezo kwenye idara ya Umwagiliaji. |
|
Furaha ya kuhitimu ilitawala. |
|
Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arushab (ATC) Dk Richard Massika (kulia) akifafanua jambo kwa mgeni rasmi. |
|
Balozi
wa Norway, Hanne -Marie Kaarstad (wa pili kushoto mbele) akiwa na
wageni mbalimbali na Wakuu wa Idara mbalimbali za Chuo katika picha ya
pamoja. |
0 comments:
Post a Comment