Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akizungumza
na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliofurika nje ya Ofisi ya CCM ya
Wilaya ya Arusha jana kwa ajili ya kumdhamini ili aweze kuwania urais katika
uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini
zaidi ya 500. Picha zote na John Badi.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akiwasalimia wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliofurika
nje ya Ofisi ya CCM ya Wilaya ya Arusha jana kwa ajili ya kumdhamini ili aweze kuwania
urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza
kupata wadhamini zaidi ya 500.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (katikati) akiagana na
wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliofika kumpokea nje ya Ofisi ya CCM
ya Wilaya ya Arusha jana kwa ajili ya kumdhamini ili aweze kuwania urais katika
uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini
zaidi ya 500.

0 comments:
Post a Comment