Mwenyekiti
wa Chama cha Wabunge la Jumuiya ya Madola(CPA)tawi la
Tanzania,Mheshimiwa Mussa Zungu akizungumza na Katibu wa Bunge,Dk.Thomas
Kashililah(kulia)wakiwa kwenye ziara ya tathmini ya Maandalizi ya
Mkutano wa 45 wa CPA utakaofanyika jijini Arusha mwezi huu,jana
walipotembelea Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara mkoa wa Arusha,kushoto
ni Meneja Uhusiano wa Tanapa,Pascal Shelutete na katikati Mhifadhi Mkuu
wa Hifadhi hiyo,Domician Njau.Afisa
Utalii wa Hifadhi ya Ziwa Manyara,Jully Lyimo(wa pili
kushoto)akiwaongoza Wabunge na Maafisa wa Bunge waliotembelea Hifadhi
hiyo jana..Mwenyekiti
wa Chama cha Wabunge la Jumuiya ya Madola(CPA)tawi la
Tanzania,Mheshimiwa Mussa Zungu akiwa na Wajumbe wa Bunge hilo na
Maafisa wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kwenye Hifadhi ya
Taifa ya Ziwa Manyara.Mwenyekiti
wa Chama cha Wabunge la Jumuiya ya Madola(CPA)tawi la
Tanzania,Mheshimiwa Mussa Zungu(kulia)akizungumza jambo wakati Wajumbe
wa Bunge hilo wakiwa kwenye ziara ya tathmini ya Maandalizi ya Mkutano
wa 45 wa CPA,jana walitembelea Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara mkoa wa
Arusha,kushoto ni Wajumbe wa CPA,Beatrice Shelukindo na Mhonga Ruhwanya..Mwikolojia
wa Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara,Yustina Kiwango akizungumzia hali
ya Hifadhi hiyo kwa Wajumbe Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola tawi
la Tanzania(CPA)waliotembelea ikiwa ni maandalizi ya Mkutano mkubwa
utakaofanyika mwezi huu jijini Arusha.Mhifadhi
Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Tarangire,Stephano Qolli akitoa taarifa
fupi ya Hifadhi hiyo kwa Wajumbe wa Bunge la Jumuiya ya Madola(CPA)tawi
la Tanzania wakiwa kwenye ziara ya tathmini ya Maandalizi ya Mkutano wa
45 wa CPA walipotembelea Hifadhi hiyo.Mwenyekiti
wa Chama cha Wabunge la Jumuiya ya Madola(CPA)tawi la
Tanzania,Mheshimiwa Mussa Zungu(katikati)akiwa katika picha ya pamoja na
wajumbe wake,Wafanyakazi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania,Wafanyakazi wa Hifadhi ya Taifa ya Tarangire jana.
Home »
» WABUNGE WA CPA TANZANIA WATEMBELEA HIFADHI ZA TAIFA
WABUNGE WA CPA TANZANIA WATEMBELEA HIFADHI ZA TAIFA
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment