Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mmoja wa watu wanaodaiwa kulawiti wanaume Chekereni, Arusha
akiwa chini ya ulinzi wa wananchi.
Mmoja wa watuhumiwa wa kundi linaloendesha mfululizo wa
matukio ya kulawiti wanaume katika kijiji cha Chekereni nje kidogo ya Jiji la
Arusha akiwa chini ya ulinzi mkali wa wanakijiji muda huu.
Hii inafuatia maandamano kwenda ofisi ya RCO kutozaa
matunda. Wananchi wameazimia kufanya msako mkali ili kukomesha vitendo hivyo..
Mpaka sasa ni wanaume wengi wamelawitiwa kijijini hapo na
baadhi wamelala hawawezi kutembea…
0 comments:
Post a Comment