Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Kuna taarifa kwamba Arusha hivi punde
watu wamerusha bomu la mkono kweny bar maarufu inayoitwa Arusha Night
Park au Matako Bar iliyopo eneo la Mianzini inasemekana watu wawili
wamepoteza maisha ila majeruhi ni wengi sana tukio hili ni ndani ya nusu
saa iliyopita. Watu kibao walikuwa wanacheki mpira unaambiwa watu
wamekatika mikono yaani balaa majeruh ni wengi mno........ Inarepotiwa
Hakuna aliyepoteza maisha kuna majeruhi 8 mmoja ndo kavunjika mguu
wengine wameumia sehemu za miguuni.
Chanzo;Dj sek blog
Chanzo;Dj sek blog
0 comments:
Post a Comment