Mgeni
rasmi katika sherehe ya maadhimisho siku ya wanawake duniani
iliyondaliwa na Phenomenal Women Group, Mama Regina Lowassa akikata keki
kuashiria ufunguzi rasmi wa kikundi
hicho,Hafla iliyofanyika jana Machi 8/2014 katika ukumbi wa World Garden
Moshono jijini Arusha, ambapo kampuni Tan Communication Media inayomiliki kituo cha Radio 5 ilishiriki kudhamini siku hiyo ya wanawake duniani.
Mgeni rasmi Mama Regina Lowassa akifungua chupa ya wine,kushoto kwake ni Mwenyekiti wa kikundi hicho Bi.Youthness Godfrey
Mgeni
Rasmi katika halfa ya siku ya Wanawake Duniani, Mama Regina Lowassa
akisoma hotuba huku akisisitiza wanawake kujitambua pamoja na kujikubali
hali itakayosaidia wao kushiriki katika maendeleo na kuchangia pato la
Taifa
Mgeni
rasmi katika sherehe ya maadhimisho siku ya wanawake duniani
iliyondaliwa na Phenomenal Women Group, Mama Regina Lowassa akikata keki
kuashiria ufunguzi rasmi wa kikundi
hicho halfa iliyofanyika jana Machi 8/2014 katika ukumbi wa World Garden
Moshono jijini Arusha ambapo kampuni Tan Communication Media inayomiliki kituo cha Radio 5 ilishiriki kudhamini siku hiyo ya wanawake duniani.
Mgeni rasmi Mama Regina Lowassa akifungua chupa ya wine,kushoto kwakwe ni mwenyekiti wa kikundi hicho Bi.Youthness Godfrey
Mgeni
Rasmi katika halfa ya siku ya wanawake dunia Mama Regina Lowassa
akisoma hotuba huku akisisitiza wanawake kujitambua pamoja na kujikubali
hali itakayosaidia wao kushiriki katika maendeleo na kuchangia pato la
Taifa
Kushoto ni Dk.Msuya ambaye ni Daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake katika hospitali ya St.Thomath jijini Arusha
Mama
Regina Lowassa akiwa katika zoezi la kuwamiminia akina mama wine mara
baada ya kugungua kuashiria ufunguzi rasmi wa kikundi cha Phenomenal
Women Group
Kushoto
Sarah Keiya Meneja masoko wa kampuni Tan Communication Media
inayomiliki kituo cha Radio 5 Arusha akiwa katika picha ya pamoja na
Pamela Sioi
Sarah
Keiya Meneja masoko wa kampuni Tan Communication Media inayomiliki
kituo cha Radio 5 Arusha akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa
kikundi hicho Youthness Godfrey
Muonekana wa keki pamoja na wine kabla havijatumika.
0 comments:
Post a Comment