Semina ikiwa inaendelea , hawa ni baadhi ya washiriki katika semina hiyo
Bwana Ayubu Nnko mtaalam kutoka Jarida la Mkulima Mbunifu akizungumza jambo
Calorine Nyakundi kutoka Jarida la Mkulima Mbunifu akiongea Jambo
Baadhi ya waandishi wa Habari akiwemo Venance Matinya wa katikati wakiwa wanafuatilia kwa makini Semina hiyo
Semina inaendelea
Picha na Arusha yetu Blog ...
Semina inaendelea endelea kufuatilia
0 comments:
Post a Comment