Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
MKUU wa Wilaya (DC) ya Arumeru, Nyirembe Munasa, ameitaka Mamlaka
ya Majisafi na Majitaka Arusha (Auwsa) kuhakikisha inayawekea
hatimiliki maeneo yote ya vyanzo vya maji yaliyopo wilayani hapa ili
kuyalinda na vitendo vya uvamizi na uharibifu wa vyanzo hivyo.
Aidha, amesema serikali haitawafumbia macho wale wote watakaobainika kuvamia na kuharibu vyanzo vya maji.
Mkuu huyo wa wilaya alitoa kauli hiyo juzi katika uzinduzi wa wiki ya maji iliyofanyika katika eneo la Loruvani.
Chanzo:Tanzania Daima
0 comments:
Post a Comment