Hapa ni njia panda ya kuingia stendi maduka pia yamefungwa.
Wafanyabiashara wa jiji
la Arusha leo nao wamefunga maduka yao ikiwa ni muendelezo wa mgomo wa
wafanyabiashara nchi nzima. Toka mida ya saa tatu leo mpaka saa sita
mchana takribani maduka yote ya Arusha mjini yalikuwa
yamefungwa, Tulianzia maeneo ya stendi kuu ambapo pia maduka yalikuwa
yamefungwa,pia kurudi mtaa wa waachaga pia nako maduka yakuwa
yamefungwa,pia kuanzia barabara ya sabena mpaka stendi ndogo hali
ilikuwa hivyo hivyo maduka yamefungwa.
Maduka yakiwa yamefungwa na hakuna biashara inayoendelea
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment