KAMATI
ya Bunge ya Ardhi, Mazingira na Maliasili inayoongozwa na James
Lembeli, imemwaga sifa kwa shirika la nyunmba la Taifa (NHC) mkoa wa
Arusha,baada ya kuridhishwa na mipango ya shirila hilo ya kujenga nyumba
zenye ubora na kukidhi haja ya wakazi katika mkoa huo.
Akiongea katika eneo hilo jana Mwenyekiti wa kamati hiyo James lembeli alisema kuwa amefananisha majengo ya NHC katuika eneo la Levolosi kama mji wa Singapool na Uturuki kutokana na sehemu ambazo wameplani na kujenga nyumba 98 kwa kipindi cha mwaka jana.
Amesema watu wanaolibeza Shirika hilo waache tabia hiyo mara moja kutokana na kuwa,hawajui hazina iliyopo katika shirika hilo,huku akiwaasa wabunge ambao wanadai gharama za kupangisha katika shirika hiloni kubwa jambo ambalo si la kweli na pia haliendani na kile kilichopo katika nyumba hizo.
Hata hivyo kabla ya kutembelea mradi wa nyumba hizo ambazo zimejengwa katika eneo la Levolosi Manispaa ya Arusha,zilizojengwa kwa viwango imara na kusimamiwa na Mhandisi wa mradi huo,Dausen Temu wa kampuni ya Holtan Buders Limited ya jijini hapa kamati hiyo imlitembelea mradi mkubwa wa shirika huilo katika eneo la Usarive nje kidogo ya jiji la Arusha.
Mkurugenzi Mkuu wa NHC Nehemiah Mchechu ameiambia kamati hiyo kuwa shirika lina mpango mzuri wa kujenga mradi mkubwa katika eneo hilo,na hivyo kukamilika kwa mradi huo itakuwa ni nnia ya kutatau tatzio la ongezeko la watu mijini.
Amesema eneo hilo lennye ukubwa wa hekari 300 lilikuwa linamilikiwa na kampuni ya (Hortanzia/Holticulctrual Tanzania) lakini kwa sasa eneo hilo lenye uapatikanaji wa maji kwa asilimia kubwa watalitumia katika kuboresha vitu vilivyopo ikiwemo Mikahawa,miti yenye umri mkubwa na mengineyo.
Naye Meneja wa NHC mkoa wa Arusha James Kisarika ameiambia kamati hiyo wawasaidie kuelewesha watnzanania ambao wanapinga kitendo cha shirika hilo kuongeza kodi kwa asilimia mia moaja,lakini wakiwa hawazungumzii kama gharama hizo zimetoka asilimia ngapi hadi ngapi.

0 comments:
Post a Comment