Wajumbe wa kamati ya Ardhi ,maliasili na mazingira wakiwasili katika
hifadhi ya taifa ya Tarangire.
Mkurugenzi mkuu wa hifadhi za taifa,TANAPA,Allan Kijazi akiteta jambo
na mwenyekiti wa kamati ya ardhi ,maliasili na mazingira Mh James
Lembeli kabla ya kuanza kwa kikao cha kamati hiyo na watumishi wa
hifadhi ya taifa ya Tarangire.
Kamati ya ardhi ,maliasili na mazingira ilipokutana na watumishi wa
hifadhi ya taifa ya Tarangire.
Mhifadhi mkuu hifadhi ya taifa ya Tarangire Stephano Qolli akitoa
taarifa ya hifadhi hiyo kwa kamati ya ardhi,maliasili na mazingira.
Wajumbe wa kamati ya ardhi,maliasili na mazingira wakifuatilia taarifa.
Mwenyekiti wa kamati ya ardhi ,maliasili na mazingira ,Mh James
Lembeli akizungumza wakati wa kikao cha kamati yake na watumishi wa
hifadhi ya taifa ya Tarangire.
Mkurugenzi mkuu shirika la hifadhi ya taifa,TANAPA,Allan Kijazi
akizungumza jambo wakati wa kikao cha kamati ya ardhi ,maliasili na
mazingira na watumishi wa hifadhi ya taifa ya Tarangire.
Baadhi
ya wajumbe wa kamati ya ardhi ,maliasili na mazingira walilazimika
kubadilishiwa gari baada ya moja ya magari katika msafara wa kamati hiyo
kupata hitilafu baada ya mrija wa mafuta kwa ajili ya Breki katika
tairi ya mbele kupasuka. Na Dixon Busagaga a globu ya jamii,Moshi
Michuzi Media group
0 comments:
Post a Comment