Arusha
Home » » Mh. Lowassa audhuria mazishi ya kada wa ccm monduli

Mh. Lowassa audhuria mazishi ya kada wa ccm monduli

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu David Pelo Kivuyo aliekuwa Diwani wa zamani wa Makuyuni.Pelo ambaye pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Monduli, alifariki tarehe 22 Desemba na kuzikwa nyumbani kwake Makuyuni leo Desemba 28.Alifariki kutokana na maradhi ya shirikisho la damu.
Chanzo;michuzi blog

1 comments:

Anonymous said...

sidhani kuna ugonjwa wa Shirikisho la Damu, bali Shinikizo la Damu...muwe mnapitia kabla ya kutuma mtandaoni

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa