Home » » Pinda ahudhuria Jubilei ya Kanisa Katoliki Arusha

Pinda ahudhuria Jubilei ya Kanisa Katoliki Arusha

IMG_0187
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Maaskofu wa Kaisa Katoliki baada ya Ibada ya Jubilei ya miaka 50 ya  Kanisa Kuu  la jimbo la Arusha  iliyofanyika mjini Arusha  Desemba 30,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri  Mkuu).
IMG_0134
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Mama Tunu Pinda pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia ni Mbunge wa Monduli Mh, Edward Lowassa walikuwa ni miongoni mwa wageni waalikwa.

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa