Home » » MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA SIKU NNE WA KIMATAIAFA WA AFRIKA KUHUSU MABADILIKO YA TABIANCHI, JIJINI ARUSHA

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA SIKU NNE WA KIMATAIAFA WA AFRIKA KUHUSU MABADILIKO YA TABIANCHI, JIJINI ARUSHA




Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznzania, akihutubia wakati akifungua mkutano wa siku nne wa Kimaitaifa wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, uliofanyika kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha leo. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mwanasayansi wa masuala ya hali ya hewa,  Dkt. Arame Tall, wakati akiondoka baada ya kufungua mkutano wa siku nne wa Kimaitaifa wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi,  uliofanyika kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha leo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia ngoma ya asili wakati akiondoka Ukumbi wa AICC baada ya kufungua mkutano wa siku nne wa Kimaitaifa wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, uliofanyika kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha leo


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano wa siku nne wa Kimaitaifa wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, uliofanyika kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha leo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo, wakiwa ukumbini wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia kufungua mkutano huo.

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa