Home » » Watu Watatu Wauawa Kinyama Mkoani Arusha tunaomba radhi kwa picha mtakazo ziona

Watu Watatu Wauawa Kinyama Mkoani Arusha tunaomba radhi kwa picha mtakazo ziona

 Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa
Mulongo (kushoto) akiongea muda mfupi baada ya kuangalia miili ya watu wanne waliouawa kinyama na
kutupwa maeneo tofauti. Wapi kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa
Arusha, Thobias Andengenye akiwa na maofisa usalama katika eneo la
kuhifadhia maiti katika Hospital ya Mkoa, Mount Meru jana
 Maiti wakiwa wamelundikwa kwenye gari la polisi baada ya kugundulika wametupwa maeneo mbalimbali wilayani Arumeru jana.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa
Mulongo (kushoto) akiangalia miili ya watu wanne waliouawa kinyama na
kutupwa maeneo tofauti. Wapi kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa
Arusha, Thobias Andengenye akiwa na maofisa usalama katika eneo la
kuhifadhia maiti katika Hospital ya Mkoa, Mount Meru jana. Picha na Mdau Richard Mwaikenda

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa