Home » » CCM yaitikisa TLP, CHADEMA Singisi Arumeru Mashariki leo

CCM yaitikisa TLP, CHADEMA Singisi Arumeru Mashariki leo


 Mwigulu akionyesha kadi za TLP na ya CHADEMA alizokabidhiwa baada ya aliyekuwa Katibu Mwenezi wa TLP Kata ya Seela Sing'isi, Augustine Kyungani na aliyekuwa mratibu wa kampeni za CHADEMA Anna Silas kumkabidhi baada ya kuhamia CCM kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Sing'isi leo
 Aliyekuwa mratibu na mhamasishaji wa kampeni za CHADEMA katika uchaguzi mdogo Arumeru Mashariki, katika kijiji cha Singisi, Anna Silas akikabidhi kadi ya chama hicho kwa Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka baada ya kutangaza kujiunga na CCM katika mkutano wa kampeni ulofanyika leo katika kijiji hicho. Wengine kutoka kulia ni Mwigulu Nchemba na Sioi
 Mbunge wa viti maalum mkoa wa Arusha, Nameloki Sokoine akimuombea kura mgombea wa CCM Sioi Sumari kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyikaKijiji cha Sing'isi, leo
Msafara wa mgombea Ubunge wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki Sioi Sumari ukitoka kwenye kambi ya CCM kwenda vijijini kwenye mikutano ya kampeni leo.

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa