Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu
Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Makumbusho mapya ya mambo ya
kale katika bonde la Olduvai ndani ya hifadhi ya Ngorongoro, wengine
pichani ni Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Profesa Jumanne Maghembe
(kushoto) pamoja na Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo (kulia). (
Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu
Hassan akipiga makofi pamoja na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.
Profesa Jumanne Maghembe (kushoto) pamoja na Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe.
Mrisho Gambo (kulia) mara baada ya kukata utepe kuashiria uzinduzi wa
Makumbusho mapya ya mambo ya kale katika bonde la Olduvai ndani ya
hifadhi ya Ngorongoro.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu
Hassan akipata maelezo mbali mbali kuhusu maisha ya binadamu na wanyama
wa kale kutoka kwa Mhifadhi wa Mambo ya Kale kutoka Makumbusho ya Taifa
Dkt. Agness Gidna mara baada ya kufungua Makumbusho mapya ya mambo ya
kale katika bonde la Olduvai ndani ya hifadhi ya Ngorongoro.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu
Hassan akiangalia historia kuhusu maisha ya binadamu na wanyama wa kale
iliyopo kwenye Makumbusho ya Olduvai mara baada ya kufungua Makumbusho
mapya ya mambo ya kale katika bonde la Olduvai ndani ya hifadhi ya
Ngorongoro.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu
Hassan akiangalia uzinduzi wa tovuti na mtanzao wa bure wa Hifadhi ya
Ngorongoro mara baada ya kufungua Makumbusho mapya ya mambo ya kale
katika bonde la Olduvai ndani ya hifadhi ya Ngorongoro.
:Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu
Hassan akihutubia mara baada ya kufungua kufungua Makumbusho mapya ya
mambo ya kale katika bonde la Olduvai ndani ya hifadhi ya Ngorongoro.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
0 comments:
Post a Comment