Home » » KATIBU WA ARUSHA PRESS CLUB(APC) AMIR MONGI AFUNGA NDOA NA BI MUNIRAH BAWAZIRI

KATIBU WA ARUSHA PRESS CLUB(APC) AMIR MONGI AFUNGA NDOA NA BI MUNIRAH BAWAZIRI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

Katibu wa Arusha Press Club Amir Mongi akiwa na mkewe siku ya ndoa yao katika ukumbi wa Mamba Complex Marangu Mkoani Kilimanjaro.Picha na Vero Ignatus Blog.

Bi Munira mke halali wa Amir Mongi akiwa na mumewe Amir Mongi siku ya sherehe ya ndoa yao jumamosi katika ukumbi wa Mamba Complex Marangu mkoani Kilimanjaro.Picha na Vero Ignatus Blog

 Amir Mongi akimvisha pete mewe Munirah Bawaziri siku ya ndoa yao ,katika sherehe iliyofayika kwenye ukumbi wa Mamba Complex Marangu Kilimanjaro januari 2017,Picha na Vero Ignatus Blog.
Katibu wa Arusha Press Club Amir Mongi akivishwa pete na mkewe Munirah Bawaziri katika sherehe ya ndoa yao ,iliyofanyika katika ukumbi nwa Mamba Complex  Marangu Mkoani Kilimanjaro.

Amiri Mongi akimkumbatia mkewe Munirah Bawazir .Picha na Vero Ignatus Blog
Maharusi wakiwa wanapata chakula pamoja na waandishi wa habari kuroka Jiji la Arusha.Picha na Vero Ignatus Blog.
Sherehe inaendelea.Picha na Vero Ignatus Blog
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka Jijini Arusha wakiwa wamesimama na mmoja wao aliyevaa gauni la njano Pamella Mollel akiwa anazungumza kwa niaba yao.Picha na Vero Ignatus Blog.


 Wakilisakata rumba katika sherehe hiyo pamoja na maharusi .Picha na Vero Ignatus Blog


MC Kiko akiwa anateta jambo na mmoja wa wazee wa upande wa bwana harusi katika sherehe hiyo,ambapo naye alikuwa msema chochote siku hiyo.Picha na Vero Ignatus Blog.

Pongezi mbalimbali zikiendelea kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki.picha na vero Ignatus Blog.0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa