Na Woinde
Shizza,Arusha
Halmashauri ya jiji la Arusha imeokoa zaidi ya shilingi milioni
mia tatu
sitini na nne zilizokuwa zitumike kwa ajili ya kuwapa
wakandarasi kwa
ajili ya kujenga madarasa baada yake kamati za shule
kupewa jukumu la
kusimamia ujenzi wa madarasa hayo badala ya
mkandarasi
Hayo yamebainishwa na meya wa halmashaur i ya jiji la Arusha Kalist
Lazaro
wakati akiongea na waandish I wa habari ambapo alisema kuwa
halmashauri
yake wamekaa chini na kuona kuliko fedha hizo zipewe wakandasi ili
wajengee
madarasa ni bora fedha za ujenzi wa madarasa zipelekwe katika
kamati za
shule pamoja na bodi za shule ili wasimamie ujenzi
huo
Alisema kuwa sasa ivi halmashauri imetoa shilingi bilioni moja
laki nne
kwa ajili ya ujenzi wa madarasa 56 ya shule za msingi na fedha
zote
zilishapelekwa katika kamati za shule ili waweze kusimamia
ujenzi mpaka
ukamilike.
“zamani tulikuwa tunatumia wakandarasi kwa kutangaza tenda kwa ajili
ya
kujenga madarasa ya shule za msingi ,lakini tangu tuanze
kujenga madarasa
kwa kupitia kamati za shule na sio wakandarasi tumekuwa tunaokoa
milioni
mia tatu sitini nne ambazo tumeziokoa tungetumia wakandarasi
zote
zingeingia katika mfuko wa mkandasi sasa ndio maana tumeamua
kumtumia kamati
za shule kwa shule za msingii “alisema Kalist
Aidha alisema kuwa jiji la Arusha kumekuwa na ongezeko kubwa la
watoto
ambao wanaandikishwa darasa la kwanza tuofauti na mwaka huliopita
kwani
tangu zoenzi limeanza adi kufikia sasa wameshaandikisha wanafunzi wa
darasa
la kwaza zaidi ya elfu 12000 tofauti na mwaka uliopita 2016 ambapo
watoto elfu
tisa mia sita na mia waliandikishwa kuingia darasa la kwanza ,
ambapo
alisema bado wanaendelea kuandikisha watoto adi mwezi march ili watoto
wote
waweze kwenda shule
Alisema kuwa kutokana na kuwepo na watoto wengi waliojiandikisha
kumekuwa
na upungufu wa madarasa hivyo halmashauri imejenga madarasa 56
kwa ajili
ya watoto hao wapya na kukarabati madarasa manne ya shule ya
msingi ambayo
yatasaidia kabisa kumaliza tatizo hili,ambapo alisema kuwa pia
madarasa
hayo yanaitaji madawati na hadi sasa halmashauri imeshatoa fedha kwa
ajili
ya madawati 1380 ambayo watoto hao watakalia katika madarasa hayo
mapya
hivyo wanaimani kuwa watoto wote wanaoanza darasa la kwanza
wataingia
madarasani na kukaa katika madawati na kusoma vizuri kama
vile
inavyotakiwa.
Akifafanua kuhusu wanafunzi wa shule za sekondari alisema kuwa jiji
la
Arusha lilifaulisha kwa asilimia 92% wanafunzi wanaoingia kidato cha
kwanza
na kukakuwepo na upun gufu wa madarasa kwa ajili ya wanafunzi hao
lakini
jiji limeshajipanga vyema na imeanza kujenga madarasa 25 kwa ajili ya
shule
za sekondari na kiasi cha shilingi milioni 700 zimeshatumwa katika
bodi za
shule hizo na wanaimani adi ifike mwisho wa mwezi huu wanafunzi
wote
waliofaulu kuingia kidato cha kwanza wataingia madarasani na
kuendelea na
masomo kama kawaida.
“napenda ku sema kuwa hakuna mtoto ambaye amefaulu kuingia kidato
cha
kwanza ataacha kuingia darasani ifikapo mwisho wa mwezi huu
madarasa
yatakuwa tayari na wanafunzi wote waliofaulu wataenda shule “alisema
kalist
0 comments:
Post a Comment