Arusha
Home » » RC GAMBO AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI ARUSHA

RC GAMBO AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI ARUSHA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
gambo
Mkuu wa mkoa wa Arusha  Mrisho Gambo akizungumza na waandishi wa habari wa Mkoa wa Arushaa ofisini kwake juzi  kutoka vyombo mbalimba vya habari kuhusu sakata la kukamatwa kwa mwandishi wa habari wa kituo cha televisheni cha ITV Halfani Liundi ambapo amehaidi kulishughulikia huku akiwataka waandishi kufanya kazi zao kwa kuzingatia maadili ya uandishi wa habari
gambo-1
Mkuu wa mkoa wa Arusha  Mrisho Gambo akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari  kuhusu mwandishi wa kituo cha ITV Halfani Liundi aliyekamatwa hivi karibuni na jeshi la polisi, ambapo pamoja na mambo mengine  alisema kuwa anatambua umuhimu wa vyombo vya habari na hivyo mwandishi anauhuru wa kwenda popote kupata taarifa yeyote kwa kuzingatia misingi ya uandishi wa habari
gambo-2
Mwandishi wa habari wa kituo cha channel Ten Aristrides Dotto akichangia katika mkutano huo wa waandishi wa habari na mkuu wa Mkoa juzi ofisinii kwake jijini Arusha
gambo-3
Baadhi ya waandishi wa habari wakifatilia mkutano huo
gambo-4
Mwandishi wa gazeti la Mwananchi Mosses Mashalla akichangia katika mkutano huo wa mkuu wa Mkoa na waandishi wa habari mkoa wa Arusha(Picha na Pamela Mollel)

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa