Bango la TANROADS
linalo onyesha inapoanza Barabara ya Sakina – Tengeru kilometa 14.1 na Arusha Bypass (Barabara ya mchepuo) yenye
kilometa 42.4
Eneo linalo hifadhi mabomba ya TANROADS yatayotumika
na mkandarasi
wakati wa kubadilisha mabomba ya
zamani na kuweka mapya yaliyopita katika
miundombinu
ya barabara ya Sakina – Tengeru km 14.1 na Arusha Bypass ya km 42.4
Eneo la Sanawari
sehemu yenye ujenzi wa box culvert No. 1
Eneo la Sekei sehemu yenye ujenzi wa
box culvert No. 2
0 comments:
Post a Comment