Waziri
wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jobs is,Wazee na watoto Ummy Mwalimu
(katikati) akiwa na waziri wa afya toka Uganda(kulia)wakifuatilia mada
zinazowasilishwa Kenney mkutano huo.
Katibu Mkuu,Wizara ya Afya Tanzania,Dkt.Mpoki Ulisubyisya akiwasilisha mada kwenye mkutano huo.
Baadhi ya mawaziri wa baraza hilo wakiwa Kenney picha ya pamoja.
Mawaziri
wa afya za nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa kwenye picha ya
pamoja mara baada ya ufunguzi wa mkutano wa pamoja wa majadiliano
kuhusu maendeleo endelevu ya kupunguza kiwango cha juu cha maambukizi ya
magonjwa ya kuambukiza na yasiyo ya kuambukiza unaofanyika jijini
Arusha.
(Picha zote na Wizara ya Afya)
0 comments:
Post a Comment