Home » » WACHEKESHAJI WA KIPINDI CHA FUTUI BRAZA K NA GONGA WATANGAZA KING'AMUZI CHA CONTINENTAL NANENANE ARUSHA‏

WACHEKESHAJI WA KIPINDI CHA FUTUI BRAZA K NA GONGA WATANGAZA KING'AMUZI CHA CONTINENTAL NANENANE ARUSHA‏

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
SAM_5019Wafanyakazi wa Sahara Media Group wakiwa katika picha ya pamoja katika banda lao la Continental  na wachekeshaji maarufu hapa Nchini ,Braza K na Gonga katika maonyesho ya sherehe za sikukuu ya Wakulima nanenane na maonyesho ya kilimo Kanda ya Kaskazini yaliyofanyika katika uwanja wa maonyeshoThemi Mkoani,(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)
SAM_5002Meneja masoko wa king'amuzi cha Continental Mkoa wa Arusha Mtemi Mangumi akiwa anazungumza na waandishi wa habari juu ya faida ya king'amuzi hicho ambapo alisema faida moja wapo ni kuwa mnunuzi atapata chaneli 26 bure za ndani na nje ya nchi,mtumiaji anaweza kurekodi kipindi,habari,burudani na baadae kuja kutizama,inatunza kumbukumbu kwa siku saba
SAM_4889Mchekeshaji maarufu wa kipindi cha FUTUI kinachorushwa na kituo cha Televisheni Star TV Andrew Ngonyani a.k.a Braza K akiburudisha katika banda la Continental katika maonyesho ya nanenane kanda ya kaskazini
SAM_4893Mchekeshaji maarufu wa kipindi cha FUTUI kinachorushwa na kituo cha Televisheni Star TV Hassan Lai a.k.a Gonga akiburudisha katika banda la Continental katika maonyesho ya nanenane kanda ya kaskazini
SAM_5014Meneja masoko wa king'amuzi cha Continental Mkoa wa Arusha Mtemi Mangumi kushoto akiwa na meneja mauzo na masoko wa king'amuzi cha Continental Arusha Halima Mandi katika banda lao viwanja vya maonyesho  nanenane kanda ya kaskazini
SAM_4991Hellen Hardson mfanyakazi wa Sahara Media Group akiwa anampa mteja maelekezo juu ya king'amuzi cha Continental
SAM_5003Meneja masoko wa king'amuzi cha Continental Mkoa wa Arusha Mtemi Mangumi akiwa na Mchekeshaji maarufu wa kipindi cha FUTUI kinachorushwa na kituo cha Televisheni Star TV Andrew Ngonyani a.k.a Braza K 
SAM_5006 Wafanyakazi wa Sahara Media Group wakiwa katika picha ya pamoja kushoto ni Mark Mwakyusa,Emmanuel Kalemba na Hellen Hardson
SAM_5010''Continental Continental ndo habari ya mujini maneno kutoka timu ya Sahara Media Group

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa