Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Baadhi
ya wananchi wa Mkoa wa Arusha wakimkaribisha kwa shangwe Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tayari kufungua Mkutano wa nne wa
mwaka wa wadau wa sekta ya barabara chini ya Wizara ya Tawala za Mikoa
na Serikali za mitaa unaofanyka katika hoteli ya Ngurdoto Mkoani Arusha.
Rais
Kikwete akisalimiana na baadhi ya wananchi alipowasili kata ya Ngurdoto
Wilayani Arumeru,Mkoani Arusha leo(picha na Freddy Maro).
0 comments:
Post a Comment