Home » » MUSTAFA PANJU AMPONGEZA PHILEMON MOLLEL KUTEULIWA KUPEPERUSHA BENDERA YA CCM ARUSHA‏

MUSTAFA PANJU AMPONGEZA PHILEMON MOLLEL KUTEULIWA KUPEPERUSHA BENDERA YA CCM ARUSHA‏

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

SAM_3941
SHUKRANI NA PONGEZI
Ndugu zangu Wananchi wapendwa.
Mimi ni Ndugu Mustafa Abdullah Panju (Bushbuck) nilikuwa mgombea wa Ubunge, Wilaya ya Arusha 2015.
Kwanza naungana nanyi kumpongeza Bw.Philemon Mollel ambaye ameteuliwa na CCM kugombea nafasi hiyo.
Pili naomba kuwashukuru Wana CCM wote walionipigia kura na wale ambao hawakunipigia. Wote tumetimiza haki zetu ninawapongeza.
Nawatakia kheri katika uchaguzi Mkuu
MUNGU IBARIKI TANZANIA

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa