Alliance
in Motion Global inakukaribisha wewe mjasiriamali,mfanyakazi njoo
ukutane na waliofanikiwa kupitia biashara za masoko upate mbinu za
kujipatia kipato cha ziada,mbinu za kutengeneza masoko na kutangaza
biashara yako uku ukijipatia pesa zaidi. Karibuni wote Alliance in
Motion ni zaidi ya mkombozi wako kuondoa umaskini na kuboresha maisha
yako.
Wakazi wa Arusha karibini New Safari Hotel siku ya jumamosi tarehe 25 mwezi wa saba kuanzia sa nne asubuhi na kuendelea.
Wakazi wa Moshi karibuni Coffee Shop zamani Zumbaland siku
ya jumapili tarehe 26 mwezi wa saba anzia saa saba mchana na kuendelea.
Wote mnakaribishwa sana. Kwa mawasiliano zaidi 0767 901277 Hellen...
0 comments:
Post a Comment