Arusha
Home » » HIZI NDIZO PURUKUSHANI ZA ASKARI NA DEREVA BODABODA ARUSHA‏

HIZI NDIZO PURUKUSHANI ZA ASKARI NA DEREVA BODABODA ARUSHA‏

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
SAM_2937
Askari wa usalama barabarani mkoani Arusha wakimkamata mwendesha bodaboda(aliyevalia fulana nyuepe)leo kwa kukiuka sheria za barabarani katika barabara ya boma mkabala na ofisi za TTCL jijini Arusha ,hata hivyo dereva huyo alichomoka na ufunguo wa pikipiki na kuwaacha askari hao wakishangaa
SAM_2938

(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)
    

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa