Home » » DR. KIGODA AMETAKA TASISI KUBWA ZINAZOSHUGHULIKA NA MASUALA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KUKUTANA NA TRA

DR. KIGODA AMETAKA TASISI KUBWA ZINAZOSHUGHULIKA NA MASUALA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KUKUTANA NA TRA

 
 Waziri wa viwanda na biashara dokta Abdallah Kigoda ametaka tasisi kubwa zinazoshughulika na masuala ya biashara na uwekezaji kukutana na mamlaka ya mapato nchini tra kujadili jinsi ya kuangalia kupunguza ushuru na hizo kodi zisozikuwa na tija ili  mazingira ya uwekezaji na uzalishaji uwe wenye faida.
Chanzo:ITV Tanzania
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa