Home »
» WASHIRIKI WARSHA YA MASHIRIKIANO YA TANAPA NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA KATIKA KUPAMBANA NA UJANGILI YAFANA ARUSHA
WASHIRIKI WARSHA YA MASHIRIKIANO YA TANAPA NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA KATIKA KUPAMBANA NA UJANGILI YAFANA ARUSHA
Meneja
Mawasiliano wa Hifadhi za Taifa,TANAPA Pascal Shelutete akikaribisha
mijadala kwa washiriki katika warsha ya mashirikiano kati ya TANAPA na
Vyombo vya Ulinzi na Usalama
Baadhi ya Washiriki katika Warsha hiyo wakifuatilia kwa makini majadiliano.
Mhifadhi
mkuu Mtango Mtaiko akiwasilisha mada kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu
TANAPA ,Allan Kijazi juu ya majukumu na changamoto zinazoikabiri TANAPA
kwa ujumla.
Meneja
Ulinzi wa Hifadhi za Taifa ,TANAPA ,Emily Kisamo akiwasilisha mada juu
Uhifadhi/Ulinzi wa Maliasili na Changamoto zake(Ujangili) na Mfumo wa
Jeshi Usu.
Baadhi ya washiriki wakifuatilia mjadala.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment