Home » » MMOJA AFARIKI MGODINI ARUSHA

MMOJA AFARIKI MGODINI ARUSHA

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine kujeruhiwa vibaya,baada ya kufunikwa na udongo katika mgodi wa machimbo ya kokoto ya Terati jijini Arusha walipokuwa wanafanya kazi ya kuchimba kokoto.Serikali ya kata ya Terati yasema machimbo hayo yanaendeshwa kinyume na taratibu.

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa